Social Icons

Pages

Monday, June 30, 2014

PHOTO’S: Yaliyojiri kwenye hafla ya NDOVU (Monde Selection International High Quality Trophy 2014)


1
Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli akionyesha Kikombe alichoshinda kupitia bia ya Ndovu kutoka katika Kampuni ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa kama bia  yenye ubora wa kimataifa wakati wa hafla ya kupongezana na wadau wa bia hiyo iliyofanyika Dar es Slaam jana.
4
Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli  na Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Nchini(TBL) wakionyesha Kikombe walichoshinda kupitia bia ya Ndovukutoka katika Kampuni ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa kama bia  yenye ubora wa kimataifa wakati wa hafla ya kupongezanma na wadau wa bia hiyo iliyofanyika Dar es Slaam jana.
5 6
Kundi la wasanii wa THT wakitumbuiza wakati wa hafla hiyo.
7
Mkurugenzi wa Masoko TBL,Kushila  na Meneja masoko TBL, Fimbo Butallah wakizungumza na wadau
8
Meneja masoko TBL, Fimbo Butallah na Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt wakiteta jambo.
9 10 11
Vanessa Mdee akitoa burudani kwa wageni waalikwa
12 13 14 15 16

PHOTO’S: Kutoka CLUB 71 Tegeta, hizi hapa picha za uzinduzi wa video mbili za wasanii hawa

IMG_7715

 Jumapili ya tarehe 22 ndani ya CLUB 71 kulikuwa na uzinduzi wa video mbili za wasanii wa bongo fleva na mmoja akiitwa Gelly wa Rhymes pamoja na Hemedy PHD. Hizi ni picha nilizokuchukulia mdau wangu wa dizzcriss beats ili usiwe umepitwa sana, Enjoy
IMG_7718 IMG_7737 IMG_7740 IMG_7776
Cyrill Kamikaze
IMG_7797 IMG_7821 IMG_7822 IMG_7832 IMG_7834 IMG_7845
Gelly wa Rhymes
IMG_7864
Host DJ Choka
IMG_7875 IMG_7884
Kwa steji ni Hemedy PHD
IMG_7887 IMG_7888 IMG_7912 IMG_7938 IMG_7973
THE END….

BIOGRAPHY: OTUCK WILLIAM (@Otuck_William)


IMG_1816
Muziki mzuri hutengenezwa kwa ustadi wa mchanganyiko wa ala za sauti na mashairi. Sanaa ya utengenezaji muziki mzuri ni kazi ambayo watayarishaji na wasanii kwa pamoja huifanya wakati wa utengenezaji wa wimbo. Mara nyingi, wasanii na watayarishaji wa muziki hutengeneza muziki kutokana na mazingira halisi yanayowazunguka katika maisha yao binafsi kama vile maisha ya mapenzi, kazi nk.
Otuck William, msanii mpya kwenye maskio ya wapenzi wengi wa muziki nchini ambaye pia ni Afisa Tabibu, anaelezea namna ambavyo kazi yake ya utabibu imechangia katika utengenezaji wake wa muziki.
IMG_1815
“Siku yangu ya kawaida kwa kiasi kikubwa naitumia kusikiliza wagonjwa na wateja wengine wanaokuja kwenye kituo cha afya ninachofanyia kazi. Ni kitu ambacho ninakipenda maana kinanipa nafasi ya kusaidia jamii. Imekuwa ni ndoto yangu kwa muda mrefu. Lakini pamoja na kusikiliza matatizo yao ya afya, ukiwa mhudumu wa afya, watu hukuamini, wengi watakueleza matatizo yao ya ndani sana ambayo pengine hawawezi kuwaambia hata wapenzi wao, hivyo kuongea nao kila siku kunanipa nafasi ya kujifunza mengi sana kuhusu watu na Maisha. Muziki ninaoufanya ni kwa ajili ya watu na Maisha, hivyo yale nijifunzayo kwa watu niwaonao kila siku, huwa ninajaribu kuyatafsi katika ala za muziki. Ni namna moja wapo ya kutengeneza kitu ambacho kinawahusu watu moja kwa moja. Hivyo kinakuwa bora na kizuri…” – Otuck William
Pamoja na kazi nyingi ambazo ziko studio, mwimbaji huyu wa Soul anafanya vizuri kwenye vituo mbali mbali vya TV na Redio kupitia rekodi yake iitwayo “Deja Vu” ambayo imetayarishwa na yeye mwenyewe na video imeongozwa na kutayarishwa na Nikki Dizzo wa Focus Film Tanzania.
Kama bado hujapata nafasi ya kuangalia Video hiyo, hii hapa
Lakini pia unaweza kupakua audio ya deja vu kwenye mtandao wa soundcloud.
https://soundcloud.com/otuckwilliam/deja-vu-otuck-william-ft-hance-puff
Instagram & Twitter @Otuck_William

PHOTO’S: MADEE (@Madeeseneda) anatarajia kuachia video yake mpya PAULINA, sasa picha ziko hapa


IMG-20140616-WA0048 IMG-20140616-WA0049 IMG-20140616-WA0050 IMG-20140616-WA0051 IMG-20140616-WA0052 IMG-20140616-WA0053 IMG-20140616-WA0054 IMG-20140616-WA0055 IMG-20140616-WA0056 IMG-20140616-WA0057 IMG-20140616-WA0058 IMG-20140616-WA0059 IMG-20140616-WA0063 IMG-20140616-WA0065 IMG-20140616-WA0066
 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates