Social Icons

Pages

Monday, June 30, 2014

PHOTO’S: Yaliyojiri kwenye hafla ya NDOVU (Monde Selection International High Quality Trophy 2014)


1
Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli akionyesha Kikombe alichoshinda kupitia bia ya Ndovu kutoka katika Kampuni ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa kama bia  yenye ubora wa kimataifa wakati wa hafla ya kupongezana na wadau wa bia hiyo iliyofanyika Dar es Slaam jana.
4
Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli  na Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Nchini(TBL) wakionyesha Kikombe walichoshinda kupitia bia ya Ndovukutoka katika Kampuni ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa kama bia  yenye ubora wa kimataifa wakati wa hafla ya kupongezanma na wadau wa bia hiyo iliyofanyika Dar es Slaam jana.
5 6
Kundi la wasanii wa THT wakitumbuiza wakati wa hafla hiyo.
7
Mkurugenzi wa Masoko TBL,Kushila  na Meneja masoko TBL, Fimbo Butallah wakizungumza na wadau
8
Meneja masoko TBL, Fimbo Butallah na Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt wakiteta jambo.
9 10 11
Vanessa Mdee akitoa burudani kwa wageni waalikwa
12 13 14 15 16

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates