Jumapili ya tarehe 22 ndani ya CLUB 71
kulikuwa na uzinduzi wa video mbili za wasanii wa bongo fleva na mmoja
akiitwa Gelly wa Rhymes pamoja na Hemedy PHD. Hizi ni picha
nilizokuchukulia mdau wangu wa dizzcriss beats ili usiwe umepitwa sana,
Enjoy
Cyrill Kamikaze
Gelly wa Rhymes
Host DJ Choka
Kwa steji ni Hemedy PHD
THE END….
No comments:
Post a Comment