Social Icons

Pages

Wednesday, July 2, 2014

EXCLUSIVE AUDIO: TUMENASA SAUTI ZA DJ FETY, ADAMU MCHOVU NA B12 WAKIDUNDANA STUDIO HUKU WAKISAHAU KUWA WAPO HEWANI LIVE MCHANA HUU



Katika hali ya kushangaza bila kutarajia kumetokea Ugomvi mkubwa mchana huu katika studio za Clouds ambapo inaonekana Dj Fety wakibishana na B12 kushusu kulunch kitu fulani hewani sasa hapo ndipo mbinde ilipoanzia, hii imetokea mda huu kwenye kipindi cha xxl..  sikiliza hapa

Inshu nzima  iko hivi: Wakampaka ana album alikuwa atoe tangu last yr hajatoa sembuse sasa?
 Fetty akasema yeye atatoa compilation ya fiesta 
 Fetty akasema the fact that ametambua kuwa ni tatizo ni jambo la msingi then sasa hapo ugomvi ndo ukaanza
 Kikanuka zaidi!
Fetty aliafiki jamaa wa TRA kusema wauza cds n dvds original saivi wanaonekana feki. 
Then dozen akaanza kuhoji itakuwaje fetty alikubali hilo wakati ni tatizo?
B dozen akampaka kuwa fetty yeye hiyo ni idea wakati yake tayari iko printing stages...
Actually B dozen akawa anasema haoni maana ya kutoa album kwani itakuwa
Mchomvu ndo akaanza kuzima mic alipoona ugomvi unazidi hewani..
Fetty aliafiki jamaa wa TRA kusema wauza cds n dvds original saivi wanaonekana feki. Then dozen akaanza kuhoji itakuwaje fetty alikubali hilo wakati ni tatizo?


Listi ya wachezaji wanaongoza kwa magoli kombe la dunia mpaka hatua ya 16 bora


a-look-at-the-best-players-of-the-2014-world-cup-so-far

Michuano ya kombe la dunia imefikia kwenye hatua ya 16 bora ikielekea nane bora, mpaka sasa fainali hizi za mwaka huu zinaelekea kuwa moja ya michuano ya kombe la dunia ambayo ndani yake kumekuwepo na magoli mengi, mpaka kufikia mechi za jana tayari magoli zaidi ya 150 yalikuwa yashatinga nyavuni.
Mshambualiaji wa Colombia James Rodriguez ndio anaongoza mpaka sasa akiwa na magoli matano, akifuatiwa na Neymar, Messi, Muller, ambao wote wana magoli manne kila mmoja, Arjen Robben, Van Persie na Benzema wanafuatia wakiwa na magoli matatu.
Listi kamili ya wafungaji bora wa World Cup


Untitled copy

Umesikia hii inayohusu mkataba wa Young Killer na meneja wake Mona Gangstar??


youngk

Mkataba wa Young Killer na Meneja wake ambaye pia ni Producer wake Mona Gangstar unawezekana upo kwenye hatua za mwisho ingawa unamalizika Mwezi December,Soudy Brown kaongea na Young Killer pamoja na Mona Gangstar mwenyewe.
88.0 Clouds Fm inasikika ukiwa Tabora.

Kauli ya TID kwa Ray C na alichokisema baada ya kuibuka maswali juu ya kauli hiyo.


1170077_216447715233225_272121298_n

June 30 kupitia mtandao wa kijamii wa instagram kwenye akaunti ya Tid alipost picha iliyokuwa na maneno >>’Listen to this mix….once again from @lamarfishclub’ ni wimbo ambao ameurudia kwa mtindo anaoufanya Lamar kwa sasa zile Refix.
Baada ya kuweka picha hiyo mmoja wa watu waliotoa maoni yao au comments kwa picha hiyo ni mwanamuziki Ray C ambaye aliandika maneno haya yaliyooneka kumkera TID

tid

Ray C ameandika “Come let’s talk Tid u are the best musician in East Africa please lets talk” maneno haya hakuna aliyejua Ray C anachomaanisha lakini cha kushangaza na ambacho kimeibua maswali ni jinsi TID alivyojibu comment hiyo.
Leo kupitia kipindi cha Xxl Tid ameelezea sababu ya kuandika hivyo ambapo amenukuliwa akisema “Mimi kama kuna mtu ananitafuta hawezi kunitafuta kwenye instagram, sijawahi kuwa na matatizo na Ray C sijamuona nina kama miaka 5 hivi”
“Hivi Ray C anataka kukutana na mimi nini anataka kuongea na mimi mbona hajanitafuta miaka yote ananitafuta sasa hivi mimi sijapenda sasa nakutuma wewe mwambie jamaa hataki kuonana na wewe”
“Sitaki kuongea nae, sitaki kukutana nae akaongee na ma boyfriend wake ambao anafanya nao vitu vibaya, mimi si wa namna yake aniache na familia yangu anaiche na mama yangu”.

Walichoahidiwa Van Persie na wenzie wa timu ya Uholanzi ikiwa watashinda ubingwa wa dunia.






Holland'

Wakati ikijiwekea rekodi ya ushindi asilimia 100 katika michezo yake yote kwenye kombe la dunia mpaka sasa wakiwa wamefika katika hatua ya robo fainali, timu ya taifa ya Uholanzi ambayo ilikuwa ikipewa nafasi ndogo sana ya japo kuvuka hatua ya makundi, wameahaidiwa zawadi kubwa sana na ya kipekee ikiwa tu wataweka historia ya kutwaa ubingwa wa dunia kwa mara ya kwanza.
Kampuni ya masuala ya anga ya nchi hiyo iitwayo Ruimtevaartbedrijf SXC aerospace engineering company imeihaidi timu ya taifa ya nchi hiyo safari ya kwenda mwezini ikiwa tu watafanikiwa kubeba ubingwa wa dunia..
Mmoja wa wahasisi wa SXC Michiel Mol alikiambia chombo cha habari cha Uholanzi, NL Times:
“Kama kampuni yenye asili ya kidachi, tunayo furaha kubwa sana na mafanikio ya timu yetu huko Brazil. Kwa kiwango kizuri wanakionyesha basi wanastahili pongezi za aina yake.
“Tutajaribu kuwapeleka wachezaji kwenye kilele cha umbali wa  – 103 km!
“Tutawachukua wachezaji wote 23 na kocha Louis van Gaal.”
 NL Times wanaripoti kwamba, kampuni ya SXC kwa sasa inafanya matangazo ya ndege kwenda mwezini kuanzia mwakani, na kama kila kitu kikienda kama kilivyopangwa na Udachi wakachukua ubingwa wa dunia – basi kikosi kizima cha Udachi kitapata zawadi yao mwaka 2016.

Justin Bieber awashangaza mashabiki wake kwa kupost “Selfie” hii bila nguo.


Justin-Bieber

Nyota wa muziki Justin Bieber amewaacha kwenye mshangao mashabiki wake baada ya kupost picha ya selfie akiwa hana nguo mtandaoni.
Mwimbaji huyo hivi karibuni amekuwa akitupia picha mbalimbali katika mitandao ya kijamii bila kujali wakati mwingine zikiwa nusu utupu kwa muda wa wiki nzima.

Justin-Bieber2

Saa chache zilizopita Justin alionekana studio akiwa na msichana anayedaiwa kuwa nae karibu katika siku za karibuni Chantel Jefferies pamoja na msichana mwingine baada ya mapenzi yake na Selena Gomez kuonekana yakilegalega.

Mwanamke aliyejitokeza baada ya kutembea na wanaume elfu 10.


Gwyneth-Montenegro2

Mwanamke mmoja ameamua kujitokeza hadharani na kusema kuwa katika maisha yake tayari amekwishatembea na wanaume elfu 10 asilimia 90 wakiwa wameoa katika harakati zake za kujitafutia kipato.
Gwyneth Montenegro alikulia nchini Australia katika shule binafsi kabla ya kwenda kuwa mmoja wa wasichana makahaba wanaolipwa pesa nyingi zaidi akipata zaidi ya dola 2,000 kwa usiku mmoja kutoka kwa wateja wake.

gmontenegro3

Anafafanua zaidi sababu za kujiingiza kwenye biashara hiyo moja ikiwa ni kutokujiamini na kutaniwa sana alipokuwa shule kutokana na kuwa na aibu sana hivyo kupelekea wanafunzi wenzie kumchokoza.
Wakati wengi wa marafiki zake waliishia kuwa madaktari na wengine wanasheria, Gwyneth aliingia katika biashara hiyo na kufanikiwa kulala na wanaume 10,091 na kuweka taarifa za kumbukumbu ya kila mmoja wao.
Wateja wake wengi walikuwa ni wazungu wenye pesa zao na ingawa asilimia 90 ni waume za watu, Gwyneth anasema hajutii kwani kwa kufanya hivyo inawezekana ameokoa ndoa zao kwa kiasi kikubwa.
 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates