Social Icons

Pages

Thursday, February 26, 2015

Dear Melanie Bartz
Tunahukuru kwa barua pepe ya tarehe 17/10/2014 Tunapenda kuomba Samahani kwa kuchelewa kuijibu mapema kutokana na sababu ya kiafya kuwa mbaya kutokana na ajali ya pikipiki iliyopelekea kulazwa muhimbili Hospitali ya Taifa na Kufanyia Operation ya Kichwa ambayo ilidumu kwa miezi mitatu na sasa hali yangu ni nzuri na Kwa Heshima na Taadhima napenda kuchukua nafasi hii kujibu maswali ya mradi wa dipensari ya Kijiji cha Tulila kama ifutavyo

1.  Rasimali watu
                                      Kufatua matofali 30,000 @Tsh 100 *30,000 = 3,000,000
                                      Kupanga jiko na kuchoma Tsh 1,500,000
                                      Kubebelea tofali kupeleka sehemu ya ujenzi Tsh 1,000,000
                                      Kupasua mawe na kokoto  Tunaitaji tripu 10 kila tripu Tsh 30,000 *10 =300,000
                                      Mchanga Kwa ajili ya ujenzi kila tripu Tsh 80,000 *10 = 800,000
                                      Kununua Ramani ya dispenary Tsh 500,000
                                      Kununua Kiwaanja cha ujenzi wa dispensary Tsh 1,000,000
                                      Tunaitaji majengo madogo  matatu
Ø  Maabara
Ø  Utawala
                                             Chakula na Usafiri  Tsh 1,500,000
                                            Emergency cost Tsh 1,400,000
                                           Total cost of Euro  5000 € = Tsh 11,000,000/=

2. Shughuli za uendeshaji wa dispensary utatokana na gharama za uchangiaji wa matibabu yatakayo tolewa

3. Dawa zitapatikana kutokana na fedha za uchangiaji ili kununulia dawa kwenye maduka ya dawa ya jumla yalioko Wilayani

Yours faithfully
Edward Putuka,
                                                   

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates