Social Icons

Pages

Wednesday, July 2, 2014

Mwanamke aliyemuua mumewe kwa kukataa kumnunulia viatu.



kenya
Ni katika Mahakama ya Kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya ambapo kesi ya Sabina Njeri mwenye umri wa miaka 23 ambaye anakabiliwa na mashtaka ya kumuua mume wake kwa kumchoma kisu baada ya kushindwa kumnunulia viatu vyenye thamani ya shilingi za Kenya 1000 ambazo ni sawa na kama shilingi elfu 18 za kitanzania.
Chini ya hakimu Heziah Kiago aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo inadaiwa mwanamke huyo na mumewe walikuwa katika matembezi eneo la Makutano ndipo alipona viatu hivyo na kumuomba mumewe amnunulie ambapo mumewe kukataa na Njeri  kusubiri hadi walipofika nyumbani akamchoma kisu cha shingoni.

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates