Social Icons

Pages

Tuesday, July 1, 2014

MILLARD AYO ANG'AA KATIKA TUZO ZA WATU, NA HAYA NDO MANENO YAKE BAADA YA KUTWAA TUZO HIZO .........

 
Millard Ayo
 
Na haya ndo maneno yake>>>> Watu wangu!! kwanza namshukuru Mungu muweza wa yote... shukrani kubwa zinazofata ni zako mtu wangu ulienipigia kura, uliefanya kampeni kwenye page yako na kunitag na hata ulieshindwa kupiga kura lakini love yako ilikua kwangu! nyinyi ndio mmeifanya # June272014 kuwa siku yangu nyingine kubwa baada ya kushinda tuzo zote mbili nilizokua nawania ktk # tuzozawatu2014 # MtangazajiAnaependwa na # kipindicharediokinachopendwa asanteni yani watu wangu! Huu ni Upendo mkubwa sana kwangu! ahadi yangu ni ileile # damdam # milele mtu wako wa nguvu na watu wake wa nguvu! Love kwa watu wangu @bdozen na Maryam Kitosi tuliokua pamoja kwenye kuwania, naitambua kazi yenu watu wangu.

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates