Social Icons

Pages

Friday, February 7, 2014

Pharrell Williams Kendrick Lamar na Janel Monae ku-perform kwenye NBA All Stars weekend


  

Pharrell Williams, Kendrick Lamar na Janelle Monae ni moja kati ya wanaotarajiwa ku - perform  katika game ya NBA all Stars weekend, ambapo Pharrell amepangwa ku-perform wakati wa 

ufunguzi wa game na kuungana na waalikwa wengine, akifatiwa na Kendrick ambaye ata headline ratiba ya jumamosi usiku ambapo ata - perform kabla ya Sprite Slam Dunk, huku Janelle Monae amepangwa kufanya yake wakati wa mapumziko ya game ya NBA All Star
Game ya NBA All Stars inatarajiwa kufanyika Feb 16 katika viwanja vya New Orleans

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates